Posts

Showing posts from April, 2023

FAHAMU MAAJABU YA KAA WA BAHARINI

Image
KAA wa baharini ni miongoni mwa viumbe hai vibavyopatikana baharini. Licha ya kutajwa kuwa ni hatari sana kwenye kujilinda lakini ni chakula ghali sana katika sehemu mbalimbali zinazotoa huduma ya chakula. TAZAMA VIDEO Kupitia MIMI ONLINE TV  Utajifunza mengi kuhusu kaa wa baharini kupitia makala maalumu, itakayokujia kupitia youtube channel yetu ya Mimi Online Tv

KARIBU MIMI ONLINE GUMZO LA HABARI

Image