FAHAMU MAAJABU YA KAA WA BAHARINI
KAA wa baharini ni miongoni mwa viumbe hai vibavyopatikana baharini. Licha ya kutajwa kuwa ni hatari sana kwenye kujilinda lakini ni chakula ghali sana katika sehemu mbalimbali zinazotoa huduma ya chakula.
Kupitia MIMI ONLINE TV Utajifunza mengi kuhusu kaa wa baharini kupitia makala maalumu, itakayokujia kupitia youtube channel yetu ya Mimi Online Tv

Comments
Post a Comment